Wednesday, June 20, 2012
KIKWETE AKABIDHIWA JEZI YA NEW YORK KNICKS


Rais Jakaya Kikwete akipokea mpira toka kwa Rais wa Shirikisho la Basketball (TBF) Bw na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo Ikulu Jijini Dar es salaam na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo

TAIFA STARS YAREJEA NYUMBANI SALAMA
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Kim Polsen akizungumza na Sunday Kayuni mara baada ya kuiwasili uwanjani hapo
Subscribe to:
Comments (Atom)





