Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam jinsi tume hiyo ilivyokaribia kuanza kwa awamu ya kwanza ya mchakato wa kushauriana na wananchi katika ukusanyaji na kuratibu maoni ya katiba mpya. Kulia ni Katibu wa Tume Asaa Rashid. |
No comments:
Post a Comment