Saturday, May 26, 2012

 Viongozi mbalimbali wa chama cha Denokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiwa katika mkutano huo kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho Dr. Wilbroard Slaa.
Maelfu ya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Madendeleo CHADEMA pamoja na wageni kutoka mataifa mbalimbali wakiwa katika mkutano huo leo.

No comments:

Post a Comment